tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

1 Septemba 2015

ARSENE WENGER AMEPIGWA PICHA KWENYE NDEGE AKIELEKEA KUKAMILISHA DILI LA CAVANI NDANI YA PARIS

wenger
Manager Wenger alisema kwamba kabla ya kupindi cha usajili hakijaisha lazima atafanya usajili mwingine ambapo jibu limepatikana kwa kiasi kikubwa atakua ni Cavani.
Arsene Wenger amepigwa picha akiwa ndani ya ndege ambayo ilikua inaelekea Ufaransa na imesekana kwamba safari hiyo ni kwenda kufanya mazungumzo ya makubaliano na Cavani. Dili la kumsajili foward huyu inaripotiwa kuwa tayari limeshakamilika na gharama yake ni £45M.
Usajili utaisha ndani ya muda mfupi ujao kwa hiyo muda wowote Cavani anaweza kutangazwa kuwa ni mchezaji mpya wa Arsenal
wenger2

Hakuna maoni: