JE, HUYU NDIYE ATAKUA DOCTOR MPYA MREMBO WA CHELSEA??
Sasa hivi story za Dr Eva kama vile zimepotea baada ya Chelsea kuendelea kupata vichapo na kuwa na performance mbaya katika hatua za mwanzo za kutetea ubingwa wao.
Kuna tetesi mpya kwamba kuna eti Dr wa club ya Spartak Moscow Viktoriya ambaye ameonekana akiwa amevaa jezi ya Chelsea anaweza kuwa anakaribia kupewa kazi hiyo ya Dr Eva. Dr Viktoriya ni mrembo ambaye ana followers wengi sana kwenye instagram yake wanaom follow sio kwasababu ya kuwa Dr wa Spartak Moscow, bali ni kwa picha zake zikonyesha jinsi alivyoumbika.
Kwenye instagram yake zaidi ya kuweka picha zake akiwa kwenye kazi, mara nyingi ana post akiwa ndani ya nguo za kuongelea akiwa beach au kwenye pool. Wachambuzi wengine wanasema labda Dr huyo amevaa jezi hiyo ya Chelsea kwa ajili ya kum-support Dr mwenzake mwanamke Dr Eva ambae amekutwa na matatizo na manager wake Jose Mourihno.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni