FORBES WANASEMA HIZI NDIZO TIMU ZA MICHEZO ZENYE THAMANI DUNIANI
Source mbalimbali huwa Zinatoa tathmini yao baada ya uchunguzi tofauti tofauti. Hivi sasa mtandao maarufu ambao huwa unatoa list mbalimbali, umetoa list ya timu za Sport ambazo zina thamani kubwa. List hiyo inaenda kama hivi.
1. Dallas Cowboys (American football) – £2.59bn
2. Real Madrid (Football) £2.11bn
3 – New England Patriots (American football) – £2.07bn
3 – New York Yankees (Baseball) – £2.07bn
4. Barcelona (Football) – £2.05bn
5. Manchester United (Football) – £2.01bn
6. Washington Redskins (American football) – £1.85bn
7. New York Giants (American football) – £1.82bn
8. San Francisco 49ers (American football) – £1.79bn
9 – Los Angeles Lakers (Basketball) – £1.69bn
9 – New York Jets (American football) – £1.69bn
10 – New York Knicks (Basketball) – £1.62bn
10 – Houston Texans (American football) – £1.62bn
Dallas Cowboys imekaa namba moja kama timu yenye thamani kubwa kwenye ligi ya NFL kwa miaka 9 iliyopita. Timu hii inaingiza mapato makubwa sana kutokana na uwanja wao unaongiza watu 85,000. Uwanja huo hautumiki tu kwa ajili ya mechi za NFL , lakini pia matukio mbalimbali hutumia huo uwanja na kuingiza pesa kwa ajili ya Dallas Cowboys.
Mwezi wa 6 Real Madrid ilikua juu ya Cowboys lakini hivi sasa imepitwa. Hivyo inafanya kuwa ndio club ya soka yenye thamani kubwa kutokana na uchunguzi wa Forbes.
New York Yankees ni timu namba moja kuwa na thamani kubwa kutoka kwenye ligi ya Baseball lakini kwa ujumla ipo namba 3 ikifungana na New England Patriots inayoshiriki ligi ya NFL.
Top 5 ina timu tatu za soka ambazo ni Barcelona, Manchester united na Real Madrid
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni