GOLI 4 POINT 3…MSIMU HUU UTAMILIKIWA NA REAL MADRID AU?
Wanamchezaji ambae anafunga magoli 8 ndani ya mechi mbili na bado kuna wachezaji wengine ambao wana uwezo wa kufunga kama Karim Benzema.
Jana usiku tulishuhudia Real Madrid ikiifunga Shakhtar Donetsk magoli 4 bila majibu na kuongoza kundi la A kwa point 3 na magoli 4. PSG wakifuatia kwa point 3 na goal difference ya magoli 2.
Zaidi ya hawa wawili kuna Gareth Bale ambae japokua alitoka nje wakati mechi inaendelea kutokana na maumivu ya msuli wa mguu, Huyu jamaa pia anatoa pasi za uhakika na kusukuma mpira kwenda golini.
Watu wengi wanakiangalia kikosi cha Real Madrid ambacho kinaonekana kuwa kwenye form nzuri kwa jinsi walivyoanza msimu kwenye La Liga na Champions League. Wengine wanasema wameanza na club ndogo, kipimo chao labda wakutane na club kubwa. Mechi ya group hili inayosubiliwa sana ni ya Real Madrid Vs PSG.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni