tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

1 Septemba 2015

KAULI YA JANUZAJ BAADA YA KUTUA DORTMUND

Adnan Januzaj akionesha jezi aliyokabidhiwa atakayoivaa akiwa Borussia Dortmund
Adnan Januzaj akionesha jezi aliyokabidhiwa atakayoivaa akiwa Borussia Dortmund
Adnan Januzaj amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Borussia Dortmund kwa mkopo wa muda mrefu akitokea Manchester United.
Dortmund imeipiku Valencia ambayo ilikuwa inamuwinda nyota huyo wa kimataifa wa Ubelgiji.
Valencia ilijaribu kumsajili Januzaj Jumapili iliyopita, lakini walishindwa na sasa kijana ametua Dortmund.
Januzaj poses with the No 9 shirt alongside Hans-Joachim Watzke (right) and Michael Zorc (left)
Januzaj ali-post picha kwenye mtandao wa Twitter akiwa na jezi ya Dortmund na kuandika ujumbe usemao: 
“Nimefurahia kusaini Dortmund! Naangalia msimu mpya”.
Adnan Januzaj looks set to complete a loan move to Borussia Dortmund
Januzaj ana miaka 20, ameichezea United mechi 62 na kufunga magoli matano.
Ametwaa makombe matano ya Ubelgiji.

Hakuna maoni: