ARSENAL KURUDI KILELENI LEO DHIDI YA CHELSEA
Asernal inaweza kurudi kileleni itakapo kutana na Chelsea kwenye dimba
la Emirates.Arsenal ambayo inatabiriwa kuwa inaweza kubeba kombe msimu
huu baada ya kulikosa kwa zaidi ya miaka 10.Mechi inatarajiwa kuanza saa
moja kwa majira ya Afrika Mashariki.
k
Kikosi cha Arsenal-(P.Cech,P Mate,L KoScielny,N Monreal,H Berlin,M Ozil,A Ramsey,A Sanchez,M Flamini,J Campell,O Giroud
Chelsea:T Courtois,B Ivanovic,K Zouma,J Terry,C Azpilicueta,C Febregas,J Obi,P Rodriguez,N Matic,Willian,D Costa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni