Renato Sanches: Mambo 6 ya kufahamu kuhusu kijana huyu aliyewakataa Man United
1)Alizaliwa mwaka 1997, atakuwa na miaka 19 ifikapo mwezi August.
2) Alijiunga na Benfica akiwa na umri wa miaka 9 mnamo mwaka 2006.
3) Mchezo wake wa kwanza wa kikosi cha kwanza cha Benfica ulikuwa mnamo October 30, 2015 akitokea benchi kwenye mchezo dhidi ya Tondela.
5) Vitor Paneira, kiungo wa zamani wa Benfica, amemuelezea mchezaji kwamba ni mchezaji wa matukio yote. Ujana wake unaleta utofauti kwenye timu. Ana uwezo wa kimwili na kiakili akiwavuruga timu pinzani katikati mwa uwanja.
6) Alikuwa akivaa jezi namba 85 akiwa na Benfica.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni